UTANGULIZI Katika kazi ya fasihi tuachambuwa vipengele vikuu 2 navyo ni a-Fani b-Maudhui FANI: ni umbo la nje la kazi ya fasihi. Tunapochambuwa fani huwa tunaangalia mambo yafuatayo; 1 Jina 2 Muundo 3 Mtindo 4 Wahusika 5 Lugha MAUDHUI: Ni umbo la ndani la kazi ya fasihi Tunapochambuwa kipengele cha maudhui huwa tunaangalia mambo yafuatayo; 1 Dhamira . 2 Ujumbe. 3 Migogoro. 4 Msimamo. 5 Falsafa . 6 Mtazamo. 7 Mafunzo.