UCHAMBUZI WA KAZI ZA FASIHI
UTANGULIZI
Katika kazi ya fasihi tuachambuwa vipengele vikuu 2 navyo ni
a-Fani
b-Maudhui
FANI: ni umbo la nje la kazi ya fasihi.
Tunapochambuwa fani huwa tunaangalia mambo yafuatayo;
1 Jina
2 Muundo
3 Mtindo
4 Wahusika
5 Lugha
MAUDHUI: Ni umbo la ndani la kazi ya fasihi
Tunapochambuwa kipengele cha maudhui huwa tunaangalia mambo yafuatayo;
1 Dhamira .
2 Ujumbe.
3 Migogoro.
4 Msimamo.
5 Falsafa .
6 Mtazamo.
7 Mafunzo.
Comments
Post a Comment