UHAKIKI WA KAZI YA FASIHI

Katika mada hii tutajifunza mambo yafuatayo: 
  • maana ya uhakiki 
  • Aina za uhakiki
  • Dhima za mhakiki. 
Nini uhakiki?
 Ni kazi au kitendo cha kutafakari kuchambuwa na kufafanuwa kazi ya fasihi ili kuweka bayana maadili na ujumbe uliopo karika kazi ya fasihi.
 Ni nani Mhakiki?
 Ni mchambuzi na mfafanuzi wa mandishi ya kisanaa
    Aina za Mhakiki 
Kuna aina tatu za mhakiki 
  1. mhakiki asilia 
  2. mhakiki wa msanii 
  3. mhakiki wa mhakiki. 

Comments

Popular posts from this blog

UCHAMUZI WA TAMHILIA YA NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE