UCHAMUZI WA TAMHILIA YA NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE
UTANGULIZI
Tamhilia ni nini?
Ni mchezo was kuigiza na angalabu huigizwa jukwaani.
- Tamthilia ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe ni tamthilia inayoakiasi maisha halisi ya Watanzania hususani vijijini na harakati zao mbalimbali hususanj harakati za uhesabuji was watu na utayari was watu wenyewe kuhesabiwa.
- Aidha tamthilia hii inaonesha hali na wajibu was watu wanaokabidhiwa dhamana na jinsi na jinsi dhamana hizo wanavyozitumikia.
- Ifuatayo ni video ya tamhilia ya ngoswe
kazi nzr
ReplyDeleteMashall kz nzuri
ReplyDeleteMashaallah kazi nzuri
ReplyDelete