Katika mada hii tutajifunza mambo yafuatayo: maana ya uhakiki Aina za uhakiki Dhima za mhakiki. Nini uhakiki? Ni kazi au kitendo cha kutafakari kuchambuwa na kufafanuwa kazi ya fasihi ili kuweka bayana maadili na ujumbe uliopo karika kazi ya fasihi. Ni nani Mhakiki? Ni mchambuzi na mfafanuzi wa mandishi ya kisanaa Aina za Mhakiki Kuna aina tatu za mhakiki mhakiki asilia mhakiki wa msanii mhakiki wa mhakiki.
UTANGULIZI Tamhilia ni nini? Ni mchezo was kuigiza na angalabu huigizwa jukwaani. Tamthilia ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe ni tamthilia inayoakiasi maisha halisi ya Watanzania hususani vijijini na harakati zao mbalimbali hususanj harakati za uhesabuji was watu na utayari was watu wenyewe kuhesabiwa. Aidha tamthilia hii inaonesha hali na wajibu was watu wanaokabidhiwa dhamana na jinsi na jinsi dhamana hizo wanavyozitumikia. Ifuatayo ni video ya tamhilia ya ngoswe
Comments
Post a Comment