Posts

UCHAMBUZI WA TAMTHILIA YA KILIO CHETU

Image
Uchambuzi wa tamthilia hii ni kama ufuatao https://www.mwalimumakoba.co.tz/2017/04/uhakiki-wa-tamthiliya-ya-kilio-chetu.html

UCHAMBUZI WA KAZI ZA FASIHI

Image
 UTANGULIZI   Katika kazi ya fasihi tuachambuwa vipengele vikuu 2 navyo ni   a-Fani   b-Maudhui   FANI: ni umbo la nje la kazi ya fasihi. Tunapochambuwa fani huwa tunaangalia mambo yafuatayo;  1 Jina  2 Muundo  3 Mtindo  4 Wahusika  5 Lugha    MAUDHUI: Ni umbo la ndani la kazi ya fasihi Tunapochambuwa kipengele cha maudhui huwa tunaangalia mambo yafuatayo;   1 Dhamira . 2 Ujumbe.  3 Migogoro.  4 Msimamo.  5 Falsafa . 6 Mtazamo.  7 Mafunzo. 

UCHAMUZI WA TAMHILIA YA NGOSWE PENZI KITOVU CHA UZEMBE

Image
UTANGULIZI  Tamhilia ni nini?   Ni mchezo was kuigiza na angalabu huigizwa jukwaani. Tamthilia ya ngoswe penzi kitovu cha uzembe ni tamthilia inayoakiasi maisha halisi ya Watanzania hususani vijijini na harakati zao mbalimbali hususanj harakati za uhesabuji was watu na utayari was watu wenyewe kuhesabiwa.  Aidha tamthilia hii inaonesha hali na wajibu was watu wanaokabidhiwa dhamana na jinsi na jinsi dhamana hizo wanavyozitumikia.  Ifuatayo ni video ya tamhilia ya ngoswe

UHAKIKI WA KAZI YA FASIHI

Image
Katika mada hii tutajifunza mambo yafuatayo:  maana ya uhakiki  Aina za uhakiki Dhima za mhakiki.  Nini uhakiki?  Ni kazi au kitendo cha kutafakari kuchambuwa na kufafanuwa kazi ya fasihi ili kuweka bayana maadili na ujumbe uliopo karika kazi ya fasihi.  Ni nani Mhakiki?  Ni mchambuzi na mfafanuzi wa mandishi ya kisanaa     Aina za Mhakiki  Kuna aina tatu za mhakiki  mhakiki asilia  mhakiki wa msanii  mhakiki wa mhakiki.